Shamba hekari 16 linauzwa - kimanzichana mkimba

Shamba hekari 16 linauzwa - kimanzichana mkimba

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
LIPO KATIKA ENEO ZURI , KARIBU NA BARABARA GARI INAFIKA BILA SHIDA YOYOTE , ANATAKIWA MNUNUZI ILIYE NA UWEZO WA KUNUNUA SHAMBA LOTE YAANI HEKARI 16 KWA 40,000,000/= MAWASILIANO 0657145555.

Shamba lipo mbele kidogo ya kimanzichana katika kijiji cha mkimba , nyaraka zote za ununuzi wa awali zipo. magari ya kwenda kimanzichana mpaka mkimba yanapatikana mbagala kwa wale msio fahamu gari ndogo inafika bila tatizo .
 
Back
Top Bottom