Nahitaji gari aina ya RAV4

Nahitaji gari aina ya RAV4

lift gharama

Senior Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
107
Reaction score
66
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gari aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Miaka isiwe chini ya 2005.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom