Anatafuta mlango wa alminiamu wa frem ye urefu futi sita na nusu na upana futi saba
namba yake ni 06560255640 au 0655756717
Anapatikana tabata shule
kama unae mpigie muelewane nae kwa namba hizo...
Natafuta wimbo wa Moreno Batamba, band ni Orchestra First Moja unaitwa MAPENZI YA KWELI NAYA UONGO HUJULIKANA WAZI WAKATI WA SHIDA.
Nitashukuru: 0715 81 21 60
Ndugu habari
Ford escape bado inadai mpya na plate namba ni C haijawah pata hitilafu yoyote ile.
Bei 23M
unaruhusiwa kuja kuiona na kuitest 0717221590.
Tumia mawasiliano hayo juu kwa...
Wakuu kuna mtu anatafuta chumba cha kupanga kiwe master au vyumba viwili na choo ndani.. Ni dogo ndio anaanza life.
Chumba kiwe Kinyerezi au Tabata Segerea mwisho.
Mwenye kufahamu...
Matrekta kutoka marekani hayajatumika bongo bado yana document zote yanauzwa. Yapo sinza dar. Macey ferguson 1135 horse power 135 , Ford 9000 horse power 138 na john deer 7000 hp 135. Ford million...
Habari zenu wadau,
Ninauza POS software kwa watu wenye small retail business na Whole sellers kwa bei nafuu (USD 300).
Hii ni maalumu kwa watu wanye pharmacies, Restaurants, Bars na hata maduka...
Msasani Residence located at Masaki is a modern apartments under construction for sale.
For more details on the property click;http://www.darproperty.co.tz/property/viewProperty/479…
To see...
Oryx Gesi ya Kupikia mtungi mdogo 19000 na mtungi mkubwa ni 49000 tu
Kwa wateja wa Mwanza tutakuletea mpaka nyumbani BURE!
Masaa ya kazi: Kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nne usiku...
Kama Ulivyosoma hapo kichwa cha habari ninahitaji simu Galaxy s3 au S4 iwe original Bajeti yangu ni 170000 hadi 200000 iwe kwenye muonekano mzuri na isiwe na tatizo.
Kwa anaewajua atusaidie, mimi na wachimbaji wadogo wenzangu kwa maana tumesongwa na foleni ya madalali na wajanja wa mjini, mizigo tunayo ila tunaogopa kuleta kwani tunaishia kuhatarisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.