Nahitaji kiwanja maeneo ya Ununio

Nahitaji kiwanja maeneo ya Ununio

Anita Baby

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
1,265
Reaction score
541
Nahitaji kiwanja cha bei poa 40*40 /30*40 maeneo ya Ununio.

Msaada please
 
Unaponunua kiwanja unazingatia nini? kwanini umechagua ununio?
mimi si dalali wala siuzi kiwanja ila nalushayri ununue kiwanja kati ya goba au makongo juu.
 
Unaponunua kiwanja unazingatia nini? kwanini umechagua ununio?
mimi si dalali wala siuzi kiwanja ila nalushayri ununue kiwanja kati ya goba au makongo juu.

Mkuu na wewe kwa nini unafikiri Goba au makongo juu panafaa kuliko Ununio? kwa mfano makongo na Goba land scaping yake ni mbaya, maji ni shida, barabara za kuingia kwenye mitaa ni mbaya hasa wakati wa mvua.
 
Mimi ninacho kiko barabara ya lami ukubwa 2716 qm2 kina hati

QUOTE=Anita Baby;12888118]nahitaji kiwqbja cha bei poa 40*40 /30*40 maeneo ya ununio. msaada pls.[/QUOTE]
 
Mimi ninacho kiko barabara ya lami ukubwa 2716 qm2 kina hati

QUOTE=Anita Baby;12888118]nahitaji kiwqbja cha bei poa 40*40 /30*40 maeneo ya ununio. msaada pls.
[/QUOTE]

nimeku pm
 
Mkuu na wewe kwa nini unafikiri Goba au makongo juu panafaa kuliko Ununio? kwa mfano makongo na Goba land scaping yake ni mbaya, maji ni shida, barabara za kuingia kwenye mitaa ni mbaya hasa wakati wa mvua.

asanteeeeeeee
 
Kuna kiwanja ununio mita 800 toka maji ya bahari kina hati ukubwa sqm 1200 bei 150m tuwasiliane 0657145555
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom