Hummer ya 2007 inauzwa, bei poa

Hummer ya 2007 inauzwa, bei poa

emanuel kiduvilo

Senior Member
Joined
Aug 5, 2014
Posts
165
Reaction score
20
Gar ni make ya 2007 na.mpk.sasa.imetembea.km 89000 na.inatumia.petrol,kama unahitaj unaweza.nicheck hapa 0768359292 bei mil 95 bt.maongez yapo
 

Attachments

  • 1432670682248.jpg
    1432670682248.jpg
    28.9 KB · Views: 1,005
  • 1432670703013.jpg
    1432670703013.jpg
    54.1 KB · Views: 956
  • 1432670721718.jpg
    1432670721718.jpg
    18.3 KB · Views: 858
  • 1432670742918.jpg
    1432670742918.jpg
    72.2 KB · Views: 925
  • 1432670765803.jpg
    1432670765803.jpg
    45.7 KB · Views: 823
  • 1432670796218.jpg
    1432670796218.jpg
    58.1 KB · Views: 848
Bora muuze maana kiama kinakuja baada tu ya tarehe 25/10/2015,
Bora mkimbie kabisa maana hamtaachwa!
 
2007 Hummer for 90 million Tzs !
Mkuu shuka kidogo kwa bei hio ukipata mteja basi hell will have to freeze first
 
Naona kitu kimetulia na bei si mbaya kivile. Halafu na maongezi yapo.

Tiba
 
Bei Imetulia ....utauza tuu
 
Mambo mengine ni ya kiuchochezi.hivi munadhani walala hoi ambao tuko wengi tunafurahi na hizi mambo zenu za magari ya bei ya kufa mtu.....Kwa nini matangazo kama hayo yasipelekwe maeneo ya Masaki .......na wenye pesa zao huku JF hawako....huku tuko watu vitz..carina...rav4..nk hayo ma hammer huku hatuyawezi
 
Kuna watu wana hobby. Hii gari hata bure usinipe.
Mkuu kuna mdogo wangu huwa hii gari inaamuuzia kichwa,maana kama angekuwa na nyumba yake sio ya urithi basi.
Gari unakaa kama upo shimoni.

Vogue-Range Rovers au Land Rovers mpya ni gari zenye show nzuri sana na pia zenye heshma.
Maana Hammer unaonekana kama muhuni muhini vile au muuza unga.

Ila kwa kuchukulie madem ni balaa,sipati picha unaingai nayo kijijini kwenu.Lazima kijiji kizma watoke nje
 
Halafu mku hembu funguka.
Zipo Hammer Original za Mmarekani.
na Zipo hammer za South Africa ambazo ni nyingi bongo.
 
Mambo mengine ni ya kiuchochezi.hivi munadhani walala hoi ambao tuko wengi tunafurahi na hizi mambo zenu za magari ya bei ya kufa mtu.....Kwa nini matangazo kama hayo yasipelekwe maeneo ya Masaki .......na wenye pesa zao huku JF hawako....huku tuko watu vitz..carina...rav4..nk hayo ma hammer huku hatuyawezi
Bila shaka unashauri liongezwe jukwaa la 'matangazo makubwa-makubwa'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom