Ford Escape gari inauzwa katika hali nzuri

Ford Escape gari inauzwa katika hali nzuri

HKB

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
48
Reaction score
2
Ndugu habari

Ford escape bado inadai mpya na plate namba ni C haijawah pata hitilafu yoyote ile.
Bei 23M
unaruhusiwa kuja kuiona na kuitest 0717221590.
Tumia mawasiliano hayo juu kwa maongez zaidi. Nimejaribu kuweka picha kwa simu naona inasumbua. Ila hata whatsapp naweza kuonyesha. Serious buyer anicheki.
 
Back
Top Bottom