Jamani nina kijana wangu anatafuta kazi ya udereva yeye ni dereva wa magari madogo yupo tayari kufanya kazi kwa mtu binafsi au kampuni kama kuna mtu anatafuta dereva ani pm hasa kwa dar es salaam...
Habari ya weekend wadau?
Nyumba nzuri ya kupanga kimara suka, in vyumba vinne vya kulala kimoja ni master, sebule kubwa na dinning room, choo na bafu vya ndani na choo cha nje pia. Maji ya...
wadau habari
poleni kwa majukumu, kichwa cha habari cha husika, kinahitajika haraka sana chumba (self contained)-njombe mjini
maeneo yasiwe mbali na mjini, maeneo kama ya nazaleti, au mji mwema...
Wadau,
Nitaweza pata wapi nyumba maeneo ya Dar es salaam ya vyumba viwili na sebule pamoja na choo kwa laki na nusu?
Nakuja Dar es salaam kuanza maisha na familia yangu na sijapata bado kazi...
Eneo la ukubwa wa hekari 50 LINAUZWA lipo mbele ya mkuranga 5km kutoka barabara ya lami lipo jirani na shule ya sekondari inayoitwa mama salma kikwete .. pia ni umbali 5km toka Baharin jina la...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Jumba la kisasa linauzwa tsh Billion 2,
Lipo Mbezi beach Makonde karibu na beach,
Ful furnished, 5 Bed rooms al self contained, Gym. Min bar, Swimming pool, Kids...
A brand new and classy looking iphone six is now going for only 1.2millions.....
Iphone 6 mpya na yenye mwonekano mzuri sasa inaenda kwa milioni 1 nukta mbili
Piga sim hapa au meseji 0786371108 ....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.