Wanunuzi halisi wa madini ya vito

Wanunuzi halisi wa madini ya vito

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,125
Reaction score
14,629
Kwa anaewajua atusaidie, mimi na wachimbaji wadogo wenzangu kwa maana tumesongwa na foleni ya madalali na wajanja wa mjini, mizigo tunayo ila tunaogopa kuleta kwani tunaishia kuhatarisha maisha yetu na wanaotaka utajiri bila kazi. Nasikia kuna Wathailand mtujuze wa mjini ofisi zao ziko wapi.

Mi na zaidi ya kilo moja ya vito vyote vinazidi gram 5 na ni clear and transparent na nawajua kuna wachimbaji wana hadi kilo 3 ila wanatest kuja na jiwe moja wanazungushwa mji mzima wanaishia kuuza bei ya kupata nauli kurudi Katavi kwetu
.
 
dini.jpg huu ni mfano
 
aidha mtusaidie na bei elekezi za hii red garnet per gram imekaaje
 
Nafahamu wanunuzi wa uhakika(wathailand) walipo na mzigo unapimwa ubora wake mbele Yenu,ukiwa safi biashara inafanyika bila shida, tuwasiliane
 
nafahamu wanunuzi wa uhakika(wathailand) walipo na mzigo unapimwa ubora wake mbele yenu,ukiwa safi biashara inafanyika bila shida, tuwasiliane
hee udalali tena
 
nenda EDA estate kuna wanunuz wazur nje kna matapel wazur
 
nenda EDA estate kuna wanunuz wazur nje kna matapel wazur
Kutapeliwa labda atake mwenyewe hao wanao kaa nje wa hao wa Thailand hapo kuna mabroker na mabroker matapeli kwa hiyo hapo akili yako kumkichwa
 
nenda EDA estate kuna wanunuz wazur nje kna matapel wazur
sasa hapa bwana nachid umenena sio mtu anaficha hata soko jamani wabobgo tukoje ? ila sjakuelewa kwamba nje kuna matapeli
 
Back
Top Bottom