Natafuta mtu tu share office Nkurumah Street

Natafuta mtu tu share office Nkurumah Street

Dearbest

Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
37
Reaction score
10
Laki mbili kwa mwezi ila ipo office apa laki nne kwa mwezi ina vyumba viwili ila na wewe kama unayo kubwa tunaweza.

Kushare tuwasiliane

0757858617
 
Plot # ngapi hapo Nkurumah? Je, jengo la NHC ama?
 
Laki mbili kwa mwez ila ipo office apa laki nne kwa mwezi ina vyumba viwili ila nawewe kama unayo kubwa tun aweza kushare tuwasiliane0
0757858617
Kuwa specific mkuu, Nkrumah sehem gani? Jengo gani? Ukubwa wa vyumba? Wewe unafanyia shughuli zipi (tusijegonganisha biashara)! Huduma zipi zinapatikana kwenye hilo jengo? Service charge? Ukiweka na tupicha hapa twa ndani na nje tuone itakuwa nzuri maana kabei kanavutia, parking vipi?
Asante.
 
Laki mbili kwa mwez ila ipo office apa laki nne kwa mwezi ina vyumba viwili ila nawewe kama unayo kubwa tun aweza kushare tuwasiliane0
0757858617
wengine sijui mkoje, hii ni nkuruma ya namanyere,Sumbawanga, ujiji,Songea,Kigali au wapi??????
 
Kama unatatizo na simu yako hasa android huu ni wakati wako,0715378899,kariakoo
 
Back
Top Bottom