Wale wadau wa kuhifadhi na kutuma pesa kwa njia za mitandao watu wa M-pesa, Tigo Pesa na Airtel Money sasa usihangaike kuwa utapata wapi Line ya Tigo Pesa.
Line zinauzwa ambazo tayari zipo...
Waungwana...ninabadilisha makazi na sasa naelekea pande za Mbeya mjini...nahitaji msaada wa kupata nyumba vyumba viwili,jiko,sitting room toilet private, maji na umeme!isiwe nyumba ya...
Wakuu, Mzigo mpya Huo,
👉👉👉Junerose earphones👉👉👉
Bei ya reja reja 16,000
Bei ya jumla 13,000 (kuanzia piece 10)
Dar es Salaam unaletewa hadi ulipo...
Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji.
Natanguliza shukrani
Jaman wadau Nimechoka kuunga unga daladala za dar kila sku kwenda kazin,
Hvyo aliye na Toyota corolla Ae100 ama mark 2 baloon,alioitumia na anauza,mim nahitaj bajet yangi ipo fixed mil.1.5...
TANGAZA MARKETING SOLUTIONS:
Nyumba inapangishwa ipo Mlimani City mkono wa kushoto wa jengo
A NSSF,
Ina sebule, vyumba 3 viwili mastar, public toilet, jiko, A/c sebuleni na vyumbani, Parking gari...
Wakuu salam,
Poleni na majukumu ya kutwa wakuu nimesoma nyuzi kadhaa humu juu ya kuimarisha uwezo wa sita kwa sita na jambo kubwa wadau wamezungumzia suala la mazoezi.
Kutokana na muda wa kukaa...
Arusha, Electronic giantSamsung has continued with efforts of maintaining its leadership position withthe launch of its exciting 4G LTE enabled mobile phone range that has beendubbed...
Natafta Friji na Televisheni ya flat screen ya kuinunua huku Mwanza. Nataka second hand ama mpya bora tu zinafanya kazi vizuri. Any link to a shop or second hand dealer will be appreciated...
Nyumba ya kisasa kabisa ipo kimara suka inapangishwa ina vyumba vinne vya kulala sebule kubwa na dinning ya kutosha choo cha ndani na nje maji yapo na matenki kama matano ya lita elfu 1000 2000...
Habari wadau kwa wale wataalam wa kudesign logos mbali mbali inatakiwa logo ya kampun ya ujenzi na kampun ya ulinzi kwa Mtaalam ani pm au anichek hapa +225712131136 tufanye kazi.. Ahsante
Nauza Nissan Xtrail ya mwaka 2002,imeingizwa nchini hivi karibuni na imefanyiwa service mara 1 tu kwa genuine parts na Oil, iko katika hali nzuri kabisa, kwa sasa ipo Moshi. Bei 14.8m
Kwa mwenye...
Kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la umeme mdogo, wanaweza kupitia link hizi hapa kujua mbinu za utatuzi wa tatizo hilo;
Kifaa cha kuondoa tatizo la umeme mdogo hiki hapa
Kifaa kingine cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.