Oryx Gesi ya Kupikia mtungi mdogo 19000 na mtungi mkubwa ni 49000 tu
Kwa wateja wa Mwanza tutakuletea mpaka nyumbani BURE!
Masaa ya kazi: Kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa nne usiku...
Kama Ulivyosoma hapo kichwa cha habari ninahitaji simu Galaxy s3 au S4 iwe original Bajeti yangu ni 170000 hadi 200000 iwe kwenye muonekano mzuri na isiwe na tatizo.
Kwa anaewajua atusaidie, mimi na wachimbaji wadogo wenzangu kwa maana tumesongwa na foleni ya madalali na wajanja wa mjini, mizigo tunayo ila tunaogopa kuleta kwani tunaishia kuhatarisha maisha...
Habari zenu wakuu,
Inahitajika nyumba ya kisasa ya kupanga Singida. Vyumba vitatu,kimoja selfcontained,public toilet,jiko,sebule,yenye tiles,paving blocks, uzio na geti.
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za...
Hekari nzuri kwaajili ya ufunguzi wa Hotel,Lodge,Shule au Club, Zinapatikana.
1.MOSHONO
Hekari: 1
Umbali:mita 5 kutoka mipaka ya barabara.
Bei: 180 Milion.
Kutoka mjini: 4.5 Kilomita.
2...
Website kwa ajili ya kuuza bidhaa za duka lako kwenye mtandao. Anza kuwafikia wateja wako popote pale walipo kwa bie nafuu kabisa. Website design kuanzia 400,000 TSH
NOTE: Price include domain +...
Ndugu watanzania wenzangu wapenda ujasiriamali, Mimi ninamiliki laini na kufanya kazi ya uwakala wa huduma ya Pesa kupitia mitandao mitatu yaani;
1. Tigo
2. Vodacom
3. Airtel
Kwasasa...
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet...
Survedy plots for sale @ kigamboni sumangila 26km from fer, planned from new kigamboni city price t.sh 10,000 per square metres. Viwanja vilivyopimwa vinauzwa vipo kigamboni sumangila ni mwendo wa...
Iwe clear condition isiwe na tatizo kama ni used, iwe na uwezo mkubwa wa battery at least 2500mah, isiwe Samsung au Chinese phone nicheki 0688206680
NB: Dau linaweza panda kidogo kama simu...
Ukubwa 15 kwa 34 mt kina ukuta pande 2 umeme na maji ni vya kuunganisha tuu mita 500 kutoka cr pub pande zote zimeshajengwa kimebaki katikati. Bei 16ml tuu. Mawasiliano 0754 595256
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.