Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KIWANJA NI MITA ZA MRABA 800 (40Mita*20Mita), [VIWANJA VIWILI VYA 20M*20M] BARABARA YA GARI IPO HADI KWENYE KIWANJA. UMEME UPO JIRANI HAUTAJI NGUZO. BEI: KIWANJA KIMOJA (20M*20) MILIONI 8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipo Goba kina ukubwa wa 18 kwa 22, milioni 4 bei ya mwisho. 0719592188/ 0782578576
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, heri ya Eid MUBARAQ Nahitaji sana viatu aina ya Travolta(Men`s heels shoes) ziwe Min au Elevated, kamaunafahamu duka linalouza viatu hivi nijuze au kama wewe ndo Muuzaji tuwasilianehapa...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
tigo pes 240 mpesa 170 airtel 130 serious buyers 0789521550 mbarikiwe sana
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau.. Naomba msaada kwa ambae anaweza kunisaidia niweze kupata nyumba ya kupanga.. nimepata kazi moja hivi na nikapangiwa huku kutokea Dar es Salaam. Vigezo.. Bed Room 2 na sitting...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini ndugu wote humu, natafuta Mwalimu mzuri wa kutoa elimu ya ujasiriamali kwenye kikundi cha Familia. Sifa: Awe na uwezo mkubwa wa kufundisha ili kuwafungua watu waone fursa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta kazi ya ukondakita. Kwa hapa dar es salaam.......mie muaminifu na mcahapakazi kwa mawasiliano zaid kama unayo gari nishutue email au kwa kukoment .....mymkee@gmail.com
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kama heading inavyojieleza inahitajika HTC desire 816 haraka iwe katika hali nzuri na zaidi iwe inadumu na chaji hata siku moja bila kuchaji. hata kwa mwenye HTC desire 500 tunaweza ongea...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Habari wadau Nahitaji kununua pikipiki aina ya Fekon, au SUNlg, kinglion kati ya hizo kama itapatikana mojawapo offer yangu ni sh800,000/= tu iwe katika hali nzuri isiwe imeshatumika muda mrefu...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Nahitaji mayai ya kisasa kwa bei ya Jumla, nipo Songea/Mbinga Ambaye atakua fresh tufanye biashara tuchekiane 0719698697... Serious issue
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari waungwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji pikipiki fekon, san lg or nyingine yoyote ya aina hiyo! Sifa ni ubora wa hali ya juu na bajeti itategemea ubora...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Nahitaji moja ya simu tajwa(used). Price isizid 90k npo moro town.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bei ni 30,000 text or dial this number 0712220207
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Make Subaru Model Forester Car type Sedan Year 2007 Doors 5 Seats 5 Mileage 85,200 Engine size (cc) 2000 Transmission Automatic Fuel Petrol Color Silver Gari hili bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau, Weekend ijayo natarajia kuwa Arusha.Naomba anaefahamu nyumba za wageni za bei nafuu na zaidi sana zenye usalama anijuze zilipo. Nawasilisha.:typing:
0 Reactions
40 Replies
10K Views
actually ni kama siku tatu tu sijawahi fika kabisa nahitaji kwenda baada ya ramadhani na sikukuu kwa ujumla hotel nzuri ipi ambayo naweza fanya booking online kama hakuna uhitaj wa booking...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Dodoma. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa. Kwa...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Jipatie pochi za kijanja, bei in 35000 kwa 45000 nipo dar ukihitaji unaletewa mpaka ulipo. Tuwasiliane kwa 0652651853
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ukubwa; Futi 3 upana Futi 3 urefu. System ya umeme inafanya kazi na linawaka taa. Bei; 70,000 Linapatikana Kimara-Dsm Mawasiliano;pm or 0712784872
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Picha Hii ni moja kati ya kazi zangu nyingi nilizofanya
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom