HTC Desire 816 inahitajita fasta.

HTC Desire 816 inahitajita fasta.

combra

Senior Member
Joined
May 28, 2012
Posts
130
Reaction score
31
kama heading inavyojieleza inahitajika HTC desire 816 haraka iwe katika hali nzuri na zaidi iwe inadumu na chaji hata siku moja bila kuchaji. hata kwa mwenye HTC desire 500 tunaweza ongea biashara.
mwenye nayo ani PM.
 
Back
Top Bottom