Smartfundi Co. Ltd deals with the total solution for house finishing and renovation. We also offer consultation on where to buy the construction materials for your house finishing or renovation...
Salaam Wakuu
Kuna mtu kanipa kazi ya kuwa nimuulizie Gari gani zuri la kutembelea akiwa na familia yake ya watu wanne mpaka 6, aliniambia anahitaji gari la Sehemu tatu yaani mbele kwa...
💥MASHAMBA YANAUZWA💥
Yapo Kibaha-Madafu
1.5km toka Morogoro Road
Umeme na Maji viko 0.5m toka mashamba yalipo...
Zipo heka 5 na zinauzwa kuanzia heka 1 kwenda juu na sio chini ya...
Kwa sasa nipo Tarime, nahitaji Solar Panel kwa ajili ya matumizi ya kawaida kama lighting, radio, na ku charge simu.
Naomba kwa wauzaji wa Mwanza, hii ni fursa kwani kuna demand kubwa sana.
Baada ya kupitia kampuni nyingi zinazouza magari ya kijapani, hawa jamaa wa AUTOREC naona Wako vizuri. Wana hadi warranty. Kwa wanao ifaham hii kampuni nadhani wapo vyema!
Tunatoa huduma zifuatazo:
1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs
2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs
3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za...
nauza simu hyo ni bado mpya kabisa imetumika miezi mitat ipo vizur haina tatizo lolote ina mitandao ya kijamii muhimu.camera inapiga vizur,touch ipo vizr
Ipo ktk halinzur hasa kimuonekano hadi kiufanisi wa kazi,
Internal memory 4GB
front camera & back camera bila kusahau flash light. Pia Unapata na chaj yake pa1 na cover.
ONYO
=====
INATATIZO...
Samahani wanajf wenzangu mm nimejiunga na internet banking crdb na tayari inafanya kazi.... lakini nikijaribu kulink credit card yangu na paypal inanigomea... samahani kama kuna mtu ana ujuzi na...
Kwa anayeuza, kununua, kuweka security ya KIWANJA katika mkopo, nafanya TRANSFER OF TITLE, MORTGAGING kwa bei NAFUU kabisa, kuanzia laki nne.
Kwa anayehitaji ani PM
Au...0715820855
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.