Erisha
Member
- Oct 19, 2014
- 69
- 19
Habari waungwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ninahitaji pikipiki fekon, san lg or nyingine yoyote ya aina hiyo!
Sifa ni ubora wa hali ya juu na bajeti itategemea ubora wa chombo!
Kama unayo na unauza weka bei na picha au tuma picha whatsapp 0754086882.