Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Iphone 5 16 & 32gb for sale. Price fixed, 16gb 450,000 32gb 550,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kampuni iliyosajiriwa na CRB class 6 and above inatafutwa urgently. Aliye willing kuuza all kampun na si vinginevyo anipm au aweke bei yake haraka.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu nipo Dar (Kimara) kwa mtu anaekodisha marine board naomba ani-pm natarajia kumwaga zege kwa ajili ya slab wiki ijayo Mungu akijalia uzima.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Microwave inauzwa ya CookWorks 100,000/= (lakimoja) 0655508004
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba Inauzwa, magomeni mwembe chai wahi kabla haijanunuliwa Price: TZS 600,000,000 ( Millioni mia sita ) Negotiable: Yes Nyumba Nzuri sana ina tiles na kila kitu, Ina Vyumba 8, jiko 2, Public...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Pc inauzwa kwa Tsh 370,000\ screet flat dell inch 18 1.99GHZ, 1.96GHZ of processor 2GB OF RAM 500GB kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu no +255764361843
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Ninahitaji samsung Galaxy s3, offer yangu ni tsh Laki mbili..... kwa mwenye nayo anaweza kuwasiliana naami na kunitumia pic za simu yake kwa whatsapp kisha tufanye biashara mapema. isiwe na tatizo...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nina bajaj Bajaj Tvs king naiuza Mil 4 kwa liye na haja anitafute kwa 0764361843
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa anayeelewa ni wapi wanauza magari bora na ya bei nafuu kwa hapa Dar, naomba anielekeze tafadhali, namaanisha show room kubwa sio hao wa magari kumi au matano. Asanteni..
0 Reactions
14 Replies
6K Views
habar humu ndan tecno tajwa hapo juu inahitajika kwa mwenye nayo anichek
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Ninazo DVD za windows 8.1,Windows 7, Office 2015, Drivers Park, Program nyingi za,aina mbalimbali, bei yake ni Tsh, elfu 10 kwa dvd moja, karibu sana. Napatikana dsm kwa namba hizi, 0655 600 437...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Nauza noah kwa Tsh mil 9, napatikana dar es salam kwa mawasiliano wasiliana nami kwa simu no +255764361843
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tuamini kama "IT Department" wako, Tunahakikisha hungii gharama kubwa kuajiri IT Personal kwa kazi ambazo hazijirudi mara kwa mara, ghara zetu ni nafuu saana, tunafanya kazi popote africa...
1 Reactions
1 Replies
885 Views
Nyumba yenye chumba kimoja na Sebure iwe ni self contained, Maeneo yanayofikika kiurahisi isiwe uswahilini. Mwenye kujua anitumie private mesej au anipe namba. iwe karibu na Mjini maana ofisini...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Kiwanja Kizuri Nusu Ekari 35 x 35, kinauzwa eneo la Mwambisi, Kongowe Kibaha. Bei Mil. 6,500,000/-. Kwa maulizo na maelezo zaidi piga 0654 340606.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anehitaji Kufanya Biashara ya Bucha, naachia bucha maeneo ya kimara mwisho-DAR -Frem imelipiwa kodi mpaka mwezi 05/2016---- kodi ya miezi 10. Fremu ni kubwaa. -Mashine ya kukata nyama CAPITAL...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nauza tecno H6 Bei 140,000 ipo kwenye hali nzuri sana haina mchubuko wowote, na haina tatizo lolote, na bado ina warranty, nipo dar, kama unahitaji nichek kwa 0713415537
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nauza tecno p5 imetumika miezi minne,haina tatizo ktk matumizi ila kioo kidogo kimecrack,nakupa memory 4GB nacharger.....npo Arusha nahitaji pesa fasta.....!picha what's up huku nimeshindwa kuatach.
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Kwa mahitaji ya jumla ya Mpunga ama Mchele "safi na ulionyooka" na kwa bei nafuu mno. Sasa unaweza kuwasiliana nasi; Mihambos Technologies & General Supply Limited P.o. Box 107 Urambo, Tabora...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
KIWANJA KINAUZWA KWA WAKAZI WA ARUSHA KIWANJA KIPO MAENEO YA KWA LAIZER RELINI UKUBWA WA KIWANJA NI 15 x 15 KWA MAELEZEZO ZAIDI TUWASILIANE 0718 117 784
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom