Natafuta Nyumba ya Kupanga, Mwanza

Natafuta Nyumba ya Kupanga, Mwanza

SaaMbovu

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Posts
6,028
Reaction score
5,359
Habari zenu wadau..
Naomba msaada kwa ambae anaweza kunisaidia niweze kupata nyumba ya kupanga.. nimepata kazi moja hivi na nikapangiwa huku kutokea Dar es Salaam.
Vigezo..
Bed Room 2 na sitting room: iwe self, maji na umeme pia, fence ni muhimu zaidi kwa usalama..
Pia kama haita wezekana basi nipate hata room na sebule.. kwa kuanzia.. bei yangu ni jinsi tutakavyo elewana na mwenye nyumba but kulipa kuanzia miezi 6.
Kwa ambae anaweza kunisaidia please ni PM.
Natanguliza shukurani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom