Nahitaji pikipiki

Nahitaji pikipiki

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habari wadau

Nahitaji kununua pikipiki aina ya Fekon, au SUNlg, kinglion kati ya hizo kama itapatikana mojawapo
offer yangu ni sh800,000/= tu iwe katika hali nzuri isiwe imeshatumika muda mrefu sana yaani iwe
ya kuanzia miezi5 kushuka chini pls ninahitaji sana kuinunua kwa mahitaji yangu binafsi
mwenye nayo awasiliane nami kwa PM

ASANTE
 
Mkuu weka namba ya simu, mimi watu walikuwa wananipigia simu lakini jukwaani hawachangii!
 
Back
Top Bottom