Natafuta Mwalimu mzuri wa Ujasiriamali

Natafuta Mwalimu mzuri wa Ujasiriamali

benbry

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
183
Reaction score
55
Habarini ndugu wote humu, natafuta Mwalimu mzuri wa kutoa elimu ya ujasiriamali kwenye kikundi cha Familia.

Sifa:
Awe na uwezo mkubwa wa kufundisha ili kuwafungua watu waone fursa zinazowazunguka.

Mahali na Siku:
Semina hiyo itatolewa hapa Dsm katikati ya mwezi wa Tisa na Kumi mwaka huu.
Ni semina kama ya nusu siku tuu.

Kama una sifa tajwa hapo juu au unamjua mwenye sifa hizo tafadhali tuwasiliane 0713322856 ili nijue gharama zake na kupanga namna ya kufanikisha.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom