nauza simu zifuatazo
1.note 2 almost new imetumika wiki 2 price 400000/=
2.huawei y300 used ipo kwnye hal nzuri price 100000/=
3.samsung galaxy mpya full box-250000 maelewano yapo nicheki fasta...
Vina ukubwa wa square meter 440 kila kimoja, vinapakana. Vipo karibu na barabara kuu ambayo inaunganisha mbezi beach na mbezi kimara kupitia goba. Umbali ni dakika 5 kwa kutumia gari. Umeme upo na...
Kiwanja kipo Tegeta A 20*19 Sh. Million 6. Maeneo ya tegeta A, Shule ya msingi kuna njia ya umme na barabara mpaka kwenye kiwanja.
Mazunguzo yapo, Piga 0717751644.
Nauza Samsung note ii nimetumia kwa wiki tatu tu tangu nimenunua it's almost mpya
Nauza kwa bei Ya laki tatu na nusu tu
Kwa mawasiliano unaweza kunicheck kwa namba 0686 274501
Natafuta msaada wa kumpata mtaalamu wa kuchora ramani ya nyumba ya kisasa, nipo dar salam nahitaji msaaada wa mtaalam wa kuchora ramani za nyumba za kisasa wasiliana nami kwa kuni PM
Mwenye sqm kuanzia 9000 tuwasiliane,eneo liwe jirani na barabara kuanzia Kimara hadi Mlandizi,umbali mwisho 1km,pia kwa Bagamoyo road kama lipo tuwasiliane,barabara na umeme vyote vipatikane hadi...
Mwenye sqm kuanzia 9000 tuwasiliane,eneo liwe jirani na barabara kuanzia Kimara hadi Mlandizi,umbali mwisho 1km,pia kwa Bagamoyo road kama lipo tuwasiliane,barabara na umeme vyote vipatikane hadi...
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza natafuta nokia obama iwe imetumika kidogo au hata kama haijatumika wala isiwe na mikwaruzo sana na iwe haina tatizo lolote.
Mwenye nayo anicheki
Tunasupply vifaa vyote vya ofisini
Tunakodisha magari kwa ajili ya harusi.
Tunasupply vifaa vya majumbani kama fagio, mchele, unga, nyanya nk
Tunafanya usafi majumbani na maofisi.
Gharama zetu ni...
Gutter ni moja ya sehemu ya nyumba ambayo ikifungwa vibaya huharibu mfumo mzima wa roof.
Smartfundi tunao mafundi waliobobea na wenye mafunzo na uzoefu mkubwa katika ufungaji wa Gutter...
Habari zeu waungwana
Lengo na Dhumuni ni kuwatangazi kua tumefungua Kampuni yetu ambayo kwa jina linaitwa Jad Hotel Supplies
Kampuni yetu ina uzowefu wa Kusaply vitu vyote ikiwa vya mahoteli au...
nyumba mbili tofauti zinauzwa Toangoma
1) moja ina chumba kimoja cha kawaida, cha pili master room, sebule, jiko na vyoo viwili vya public kimoja cha chandi na cha pili cha nje ya nyumba. ina...
KIWANJA NI MITA ZA MRABA 800 (40Mita*20Mita), [VIWANJA VIWILI VYA 20M*20M]
BARABARA YA GARI IPO HADI KWENYE KIWANJA.
UMEME UPO JIRANI HAUTAJI NGUZO.
BEI: KIWANJA KIMOJA (20M*20) MILIONI 7...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.