Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi...
Maelezo:
Eneo liko umbali wa kilomita 40 kutoka Kigamboni.
Eneo ni zuri: tambarare,pana rutuba,pana maji yasiyo na chumvi.Panafaa kwa makazi, ufugaji na kilimo.
Panafikika kwa...
Wana JF,
Natafuta vioo vigumu (tempered glass) kwa ajili ya kutenenezea shelfu mbali mbali.
Picha za mfano wa vioo hivyo ni hizi hapa chni.
Anayefahamu wapi nitapata vioo hivi anijuze.
Asanteni.
S.T CONSTRUCTION ni kikundi cha vijana katika taaluma ya ujenzi kutoka Dar Institute Of Technology,ni vijana tulioamua kujiajiri baada ya kumaliza masomo yetu, kikundi kimesajiliwa na CRB kama...
Guys habari za wakati huu
Nataka kununua hii pikipiki tajwa hapo kutoka kwa mtu Nahitaji ushauri kwa maana ya kwamba ni vitu gani vya kuzingati katika mchakato mzima wa manunuzi
Lakini pia...
Kwa mwenye connection ama kuweza kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Zanzibar naomba tuwasiliane. Nitahitaji nyumba hiyo kwa siku 44 kuanzia leo. Nipo safarini kwenda Zanzibar hivyo mwenye idea...
Wakuu kwema? Nauza ps2 ina pad moja, inatumia memory haitumii CD ina games ambazo ni saved kama fifa 14, mortal kombat, burnout na bikehill.
Nauza kwa 130k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.