Kwa wanawake na wanaume, S&E BEAUTY SOLUTIONS ndio jibu lako. Inatolewa huduma ya ushauri wa kitaalam (Consultancy) na kutatua matatizo ya Ngozi na mwili kwa ujumla yanayoharibu muonekano, urembo...
Kwa wanawake na wanaume, S&E BEAUTY SOLUTIONS ndio jibu lako. Inatolewa huduma ya ushauri wa kitaalam (Consultancy) na kutatua matatizo ya Ngozi na mwili kwa ujumla yanayoharibu muonekano, urembo...
Tunaomba msaada kwa yeyote anayeweza kutusaidia kwa namna yeyote ile kufanikisha kupata godown mwanza mjini kenyata road au igogo au karibu na mjini pia ikiwezekana liwe...
1999 Toyota Alteeza inauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri. Limetembea km 98,000. Road license imelipiwa. Gari ipo Dar es salaam. Bei ni shilingi milioni 11 .
Wadau wa ujenzi wanaojenga Kinyerezi na maeneo jirani na wanaopendelea mabati yenye migongo mipana nawaarifu kuwa mimi nilinunua mabati lakini hesabu niliyopewa na fundi ikasababisha mabati yazidi...
Tunatengeneza Dreids na Natural hair twist,popote ulipo tunakufata piga simu namba 0689494232kujua bei na kufanya appointment, Tupo Dsm mikoani pia tunaenda.
Ardhi tupu ekari 1000 zinauzwa @140000/=
Zipo wilayani Mufindi umbali WA kilomita 70 kutoka Mafinga mjini. Pia ardhi ekari 30 zenye miti aina ya pine zinauzwa( miti INA umri WA miaka...
Wapendwa,
Mimi natengeneza tshrt zenye logo mbalimbali natafta wenye maduka ya nguo na bidhaa za urembo kutoka mikoa tofaut ili nifanye nao kazi.Kwa watakaopenda kufanya biashara na mimi...
Epuka sana njia na vipodozi visivyo salama na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) maana vitakuletea matatizo mbali mbali ya afya kama vile kansa, allergy, ngozi...
Maelezo:
Eneo liko umbali wa kilomita 40 kutoka Kigamboni.
Eneo ni zuri: tambarare,pana rutuba,pana maji yasiyo na chumvi.Panafaa kwa makazi, ufugaji na kilimo.
Panafikika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.