Selfie sticks ofa leo

Selfie sticks ofa leo

mwanaMtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2014
Posts
2,393
Reaction score
1,433
Ofa ya leo jumatatu.
Selfie stick kwa shilingi 18,000/- tu. Piga sim namba 0786371108/0762908355. ImageUploadedByJamiiForums1441605121.636504.jpg
 
Asante nimepata moja
Nimependa huduma yako kijana kaniletea kwa muda tuliopanga
 
Aisee, leo ndo nasikia selfie stick.

Ni nini?
 
Hii laana acheni hayo mambo jamani mungu hapendi wanaume wapo kibao

unajua selfie kwel au unatumia simu ya aina gan inaonyesha siyo makosa yako hujui maana ya selfie stick

hiyo unayoiyona hapo ni fimbo maalum ya kupigia au kujipiga picha wewe mwenyewe kwa kutumia kamera ya mbele iliyopo kwenye simu
 
Next time elezea vizuri kujipiga nini aisee.

Si unaona kuna aliewaza kujipiga miti? :wink:

Yeye naye hajafikiria, hivi hilo listiki unawezaje kujipiga nalo miti jamani!
 
Back
Top Bottom