Yaliyotokea Lebanon juzi baada ya vita na Israel tumeona faida ya uraia wa nchi mbili
Hatuombei lakini tazama scenario ya vita Tanzania...watakao faidika ni akina nani?
Hilo la investments nalo halina mpango kwa sababu wakati wa globalization hakuna atakaekwambia kuwa hataki investment na kwa hilo huhitaji kuwa na uraia wa nchi mbili kuinvest...after all nchi ambayo inahitaji investment ndio itakuwa inakulamba miguu