Advice: Purchasing BMW G 650 GS Bike

Advice: Purchasing BMW G 650 GS Bike

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Guys habari za wakati huu

Nataka kununua hii pikipiki tajwa hapo kutoka kwa mtu Nahitaji ushauri kwa maana ya kwamba ni vitu gani vya kuzingati katika mchakato mzima wa manunuzi

Lakini pia hii model BMW inaweza kuwa na shida utakapokuja wakati wa kufanya repair and maintanance (kwa maana ya hupatikanaji wa spare kwa urahisi)

Pikipiki imetembea KM 14,000 so far na price inaenda kwa 9 million.

Please drop your advice guys
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom