Nahitaji nyumba ya kupanga Zanzibar

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Kwa mwenye connection ama kuweza kunisaidia kupata nyumba ya kupanga Zanzibar naomba tuwasiliane. Nitahitaji nyumba hiyo kwa siku 44 kuanzia leo. Nipo safarini kwenda Zanzibar hivyo mwenye idea tuwasiliane kwa 0717935721.

Nyumba iwe na kila kitu ndani Kama vitanda, TV, umeme, na iwe secured kwa maana ya location yenye usalama.

Tuwasiliane.
 
Aisee,tangazo halijakamilika.
-Vyumba Vingapi?
-Maeneo gani ya Zanzibar?
-Budget ipoje,maana short term hizo huwa ni ghali

Jibu hayo nikupe Mtu akutembeze kwenye Nyumba unazotaka
 
USALAMA HAUPO KIPINDI HICHO WATU WANAPIGA KURA VIPI MKUU HUNA KICHINJIO WEWE ?
 
Vyumba kuanzia 3. Budget 500,000 kwa siku tajwa hapo juu.
 
Kichinjio ninacho mkuu. Majumu tu ndiyo yamenileta huku. Endapo wataruhusu watu kupiga kura ya uraisi popote walipo basi lile Gwiji la Siasa za bongo anayo kura yangu.
 
Kwa usalama wako, je, utahitaji walinzi wa ndani na nje ya nyumba?
Anyway, tembelea Zanzibar Ni Kwetu na utaiona nyumba moja safi kabisa, nadhani itakufaa!
 
Vyumba kuanzia 3. Budget 500,000 kwa siku tajwa hapo juu.

Bei hiyo Mkuu hakuna nyumba.
Maana hakuna anaekodisha nyumba kwa muda mfupi na full kila kitu kwa mwezi na nusu kwa Budget hiyo.Na wanaanzia Miezi Sita.

Ipo Moja anacharge hata kwa mweze Mmoja ila ni USD 600,ina kila kitu na ipo Barabarani njia ya Kuelekea Baraza la Wawakilishi.Ukiwa Tayari sema nikuunganishe an mtu ukaione.

Ila kwa Laki 5,kwa mwezi na nusu na vigezo hivyo huwezi kupata.
 
Well hata kwa 600,000 haidhuru. Lakini siwezi panga nyumba kwa dolar 600 better nibaki hotelini ambapo rate ni chini ya hapo kidog. Ukipata wa hiyo ya laki 6 nijulishe mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom