stanleyRuta
JF-Expert Member
- Jul 19, 2014
- 851
- 529
S.T CONSTRUCTION ni kikundi cha vijana katika taaluma ya ujenzi kutoka Dar Institute Of Technology,ni vijana tulioamua kujiajiri baada ya kumaliza masomo yetu, kikundi kimesajiliwa na CRB kama civil works and building in class 7 Contractors, kazi zetu ni pamoja na ujenzi wa nyumba za makazi,alluminium works, subcontracting,renovation of old buildings,electrical installations,plumbing works, well drilling, land scaping, maintenance of drainage system, Tiles and Gypsum fixing.
Malengo yetu ni kufika mbali na kuwa the leading local class one contractor na hivo kutengeneza ajira kwa vijana wanaomaliza vyuo katika nyanja za uhandisi, na haya yote yatafikiwa kama tutapata support ya kutosha kutoka kwenu ninyi wadau kwa kutupa kazi za kufanya kama zilivoorodheshwa hapo juu.
Tupo Dar es salaam ila tunafanya kazi mahali popote.
Kwa mawasiliano zaidi waweza piga 0754729751
Heshima kwa makampuni makubwa ya ujenzi ya wazawa kama, DERM ELECTRICS, MAC CONTRACTORS, BQ, SKOL
n.k