Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nisaidieni bei ya ununuzi wa gari aina land rover used,kwa anayejua anisaidie plz..mm binasi nmekadiria 10ml
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Zinauzwa CPU na monitor inch17 IPO complete inauzwa 270,000 maelewano yapo ram 2gb na 2.8ghz 160haddisc DVD mlango piac. What's up 0713844841.
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Post closed
0 Reactions
6 Replies
2K Views
[SIZE=3]Kama unahitaji chumba maeneo ya Mwenge, vipo kuna cha 130,000 na kuna cha 80,000. Kama unahitaji nicheki kwa 0713415537 Pia hapa jirani kuna nyuma mbili zinapangishwa zote zina...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kama kuna mtu anacho chumba au unafaham kuna sehemu kipo kwa pale magomeni mapipa Dar naomba anitafute, chumba cha kupanga kiwe self au hata cha kawaida msaada tafadhari mawasiliano 0654385118...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hdd 250 Ram 2gb Size 10.1 Web camera Betre 7hrs Ni mpya 0789521550 Only for 400k with warranty.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nyumba inauzwa iringa-mtwivila karibu kabisa na shule ya viziwi. ina vyumba vinne kimoja master,stoo,jiko,sebule,choo na bafu vya public ina eneo kubwa la akiba waweza jenga nyumba nyingine...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Habari zenu waungwana, mie ni fundi wa umeme wa majumbani. Mwenye kuhitaji kufanyiwa wiring au kama nyumba yako ina hitilafu ya kiumeme naomba tuwasiliane 0718 30 21 32.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung galax original for sale, Iko katika hali nzuri almost new, charger na earphone zake. Bei 380000tsh call 0783380123 maongez yapo.
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Viwanja viko kibamba shule ukubwa kuanzia Mita 20*20 bei 4.5milion bei inaongezeka Kulingana na ukubwa, vyote vinafikika kwa barabara, huduma Za umeme na maji zinapatikana. Kwa taarifa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wanaohitaji mfanyakazi/wafanyakazi wa kiume hapa Dar es Salaam, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii 0717314500. Zingatia. Ni wa full time uwe na sehem ya kulala uhakika wa kula na...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Hallo-Wana JF. Nahitaji wire za Single 2.5(Red/Black&Green) Kwa yoyote aliye fanya Quotation Akawa amezidisha, naomba tutafutane ili aweze kuniuzia. Budget: 2.5mm (35,000/-) & 1.5mm (20,000/-)...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Habari zenu wanajamvi. Jipatie simu Kali na za kijanja mpya kabisa kwa Bei nafuu Kama ifuatavyo, Samsung Note 3- Tsh. 630,000/= LG G2-Tsh.450,000/= Sony Z1-Tsh. 550,000/= Huawei P6-Tsh...
0 Reactions
32 Replies
13K Views
Carina TI inauzwa kwa bei ya milion 8.8m...nipo dsm tuwasiliane kupitia 0713806766. Karibuni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota Landcruiser Vx/Gx, engine: 1HDT FTE, mwaka kuanzia 1999 nakuendelea Isiwe imegongwa namba kuanzia T000 BAA na kuendelea sema bei yako PM.
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Kwa mawasiliano zaidi, 0754 60 45 67, 0713964830
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibuni kwa mahitaji ya mbwa wa ulinzi bei ni tshs laki 1 kwa mbwa mmoja
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Natumanini mko poa na mnaendelea vizuri na maisha. Nisiwachoshe sana, Jirani yangu anauza Shamba lake na details zake alizonipa ni kama ifuatavyo, 1) Kuhusu Kufika Shamba Liko kibiti...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Brand new house Located Kijitonyama 2 self contained bedrooms Sitting room,Kitchen,Store,Balcony Tiles,Gypsum,Feni iko ndani ya compound Car parking Rent 350000tsh Haina middle man,ila ukileta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom