Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Viwanja vinauzwa eneo la Vikawe njia ya kwenda Bagamoyo karibu na shule ya Baobab. Umbali mfupi kutoka barabarani, ekari moja mill 22. Kingine urefu mita 60 kwa 30 mill 15. Kwa mawasiliano ni PM
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nauza cd za playstation 3..... Max payne 3-50,000/= street football 4-40,000/= ukitaka zote ntakufanyia kwa elfu 70..haipungui. Unaweza nicheki whatsapp,pm au hata kunipigia kwenye 0718891984...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, nauza kiwanja kipo maeneo ya njia panda mji wa himo-Kilimanjaro,"Kiwanja No.116","Kitalu F". Kina UREFU:hatua 50 na UPANA:hatua 25,huduma ya maji na umeme inapatikana bila...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau.. Nauza simu ya SAMSUNG GALAXY S4 kwa thamani ya TSHs.350000/=,haina tatizo lolote...imetumika kwa miezi miwili hivyo bado ina upya wake na haijachoka kabisa,ina rangi nyeusi,kwa...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
Brandnew External Hard Drives for sale Types:WD Elements and Toshiba Price: 1TB........120,000 2TB........140,000 Contact 0785300134 or 0718942311
1 Reactions
3 Replies
917 Views
its in a clean condition used two weeks only
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Nauza king'amuzi cha Azam lakini hakina dish. Bei elfu 70.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HABARI wana JF,Kama nilivyosema hapo juu nauza kiwanja kipo maeneo ya kiluvya kwa komba,Chenye UREFU:hatua 46 na UPANA: hatua 20...na kipo mita 90 kutokea morogoro road,pia eneo lina upatikanaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bado ina hali nzuri kabisa.bei 150k.0659626782
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Tafadhalii sana baada ya kununua niliiwasha ikauliza baadhi ya maswali ikiwemo keyboard layout nikachagua English UK NADHANI HAPA NDIO NILIKOSEA ,, JE NAWEZAJE KUBADILISHA...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kiwanja karibu na hotel ya Amani beach chenye ukumbwa wa heka mbili kinauzwa. Bei Shs 120,000,000/- kwa heka. Kipo Minondo karibu na hotel za Amani beach na Pretoria. Kwa maelezo zaidi wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Brandnew Selfie sticks for sale Green, Blue, Black and Pink colours are available Price:16,000 Contact 0785300134 or 0718942311
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Kwa mahitaji ya External HDD: go for Transcend. Hawa Jamaa wana uthubutu wa Kumpa Mteja Wao warrant ya 3yrs. Zimetengenezwa na Technolojia "Shockproof" pindi inapoanguka Chini na kuzuia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fremu inapangishwa ipo CHANG`OMBE ,Temeke jirani na njia panda TCC Club na inatazama Chang`ombe Road. Ina floor tiles na mlango wa Alluminium . Bei ni poa sana. Wasiliana na 0713 689665.
0 Reactions
1 Replies
937 Views
Nauza Passo namba D ina rangi nyekundu low mileage nmeiendesha hapahapa dar imenunuliwa mwaka huu January.Ila kama una IST isiyozidi mwaka toka inunuliwe na unataka tubadilishane kwa 'labda'...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Simu inauzwa haina tatizo lolote colour:purple internal memory:8 GB ram:1 GB ilinunuliwa tarehe 1/8/2015... Nakupatia na charger yake nipo dar..... 065401013 PRICE TSH 150000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye simu tajwa iliyo katka hali nzuri isiwe na tatzo lolote inahitajika..anaeuza anipm number yake
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Wadau nisaidieni bei ya ununuzi wa gari aina land rover used,kwa anayejua anisaidie plz..mm binasi nmekadiria 10ml
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Zinauzwa CPU na monitor inch17 IPO complete inauzwa 270,000 maelewano yapo ram 2gb na 2.8ghz 160haddisc DVD mlango piac. What's up 0713844841.
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Post closed
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom