Habari wakuu. Naomba kujua ni kampuni gani inatengeneza mihuri ya moto kwa Dodoma mjini. I accept the physical address directives au text to 0654000253. Please its urgent
Habari,
Kampuni yetu ya Central Park Bees Limited inakuja na Starter KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio...
Wadau ninauza Lap y HP min kwa bei rahisi.
SPEC;
RAM-2GB
HDD-200GB
BATTERY-4HRS.
But lap inahitaji Housing pamoja n power switch ila kila kitu kinafanya kazi poa.
Kwa mawasiliano 0718928267
Wadau natafuta frem sehem yoyote Dar lakini iwe na mzunguko mkubwa wa watu ni kwa ajili ya Biashara ya uwakala na Nguo.
Bei isizidi elfu 50,000 kwa mwezi.
True Ink Associates would like to Announce that the Fourth CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 31/08/2015, Dar Es Salaam City Center...
We provide installation of Security alarms, Cctv Cameras, Car Track, electric fence at the following areas.
Residential Houses, Apartments, Godowns, Game Reserves, Mining Areas.
We design...
Nauza gari jamani aina ya Suzuki Carry bei ni poa kabisa tsh 5 milion na maelewano yapo kidogo.
Gari inafanya kazi bila shida yeyote , kwa mawasiliano zaidi nipigie kwenye no 0715 546818.
Kampuni yetu ya kays logistics inaagiza na kuuza bentonite (drying mud) inayotumika zaidi kwa ujenzi ndani ya maji au kwenye shughuli za madini. Tuna bags za kilo 25 na kilo 50 per bag. Kwa...
Wadau natafuta transporter anayeweza kufanya kazi ya kuhamisha staff toka Zanzibar kuja Moro, na kutoka Iringa kuja Moro.
Sharti transporter awe na ofisi Morogoro.
Mwenye lolote ani-PM tafadhali...
Wakuu heshima kwenu,
Naweza kupata viti vya saloon ya kiume vya kuchonga au used? Naweza kupata kwa shilingi ngapi? Mwenye navyo aweke offer yake, mi naishi Dar.
Asanteni..
Wakuu habari. Natafuta transport company ya kufanya transit shipping ya jet fuel to Rwanda. Ni semi trailer truck needed. Anyone please call 0654000253 or pm
wanajamvi ninaomba kwa mtu yeyeto anaweza kunifanikishia hicho chumba. ...kiwe mahali pazuri penye usalama na bei ikiwa chini ya 50,000/- itakuwa poa sana lkn hata ikizid sio mbaya cha muhimu ni...
Habari wakuu. Kwa anayeuza simu tajwa hapo juu nahitaji kuinunua by j5. Simu iwe nzuri isiwe na tatizo lolote wala uchakavu. Nitumie ujumbe pm kama unayo simu.