Samsung Galaxy S5 for sale

Samsung Galaxy S5 for sale

Manumbumichael

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
207
Reaction score
19
Samsung Galaxy S5 for sale
Used#Mint condition
Full boxed
16GB Internal Storage
Price 450,000
Contact 0784780955
 

Attachments

  • 1445106217322.jpg
    1445106217322.jpg
    67.6 KB · Views: 476
MBONA HAUSEMI KAMA NI, #HIGHCOPY.
ORIGINA INTERNAL NI 32gb


Mnafiki mkubwa wewe !!!! Kazi yako ni kuwaharibia watu biashara zao !!! Simu zenyewe huzijui ila unachezesha ulimi tu !!!!

Ingia link hiyo kisha utajua kuna version mbili za S5 !!! Kuna 16 na 32 GB !!!!! Pasua mkubwa wewe !!!! Mzushi mkubwa wewe !!!!!
 
Yaani wewe ni kama za saju , -----, mchunguzi huru , kioo , shark , interior designer , aspirin , bush lawyer etc etc !!!! Mnajifanya wajuaji sana kumbe kushnei !!! Wote pasua tu
 
Yaani wewe ni kama za saju , -----, mchunguzi huru , kioo , shark , interior designer , aspirin , bush lawyer etc etc !!!! Mnajifanya wajuaji sana kumbe kushnei !!! Wote pasua tu

Aiseee humu kuna watu wa ajabu sana mkuu, watu wanafanya wanajua kumbe hawajui kitu kabisa
 
Huyo mchunguzi huru amekimbia kabisa jamii forum !!!

Shark amebadilika siku hizi !!!! Bado hao wengine
 
Jamaa anijiita recture ???? Hilo neno Lina maana gani ???? Yaani hajielewi kabisa
 
Sina haja na mabishano na ww!
Hata nikikuambia maana yake haitakusaidia lolote!
Fanya maisha yako!

Acha story na siasa !!!! Wewe mwenyewe hujui maana yake ndo maana unaleta hadithi nyingi !!!!
 
Du jamaa hataki kuambiwa ukweli klakiambiwa ukweli anakasirika simu yenyewe photocopy
 
Munawar = manumbumichael!
Jamaa una Id ya kuuzia simu na ya magari!
Wewe jamaa ni Dalali hasa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom