Agiza(Import) gari kutoka Japan kwa bei nafuu

BIZNEM

Member
Oct 3, 2014
25
3
Habari,

Kwa wale wanaohitaji kuagiza(import) gari kutoka japan tafadhali wasiliana nami kupitia e-mail yangu dengnikki89@gmail.com au inbox kwa kunijulisha(maker, model, namba yako ya simu na budget yako).

Nitakupa pia ushauri kwenye swala la ushuru ili upate gari nzuri ya mwaka ambao ushuru nafuu na gharama zote mpaka unaipata hiyo gari tayari kwa vibali vyote kuwa barabarani.
 
Back
Top Bottom