Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu, Nipo Dodoma mjini naiuza pikipiki yangu boxer,bado haijamaliza mwaka, bei yake ni 1.6M . Kwa ambae yupo serious njoo pm tufanye biashara.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
gharama za viwanja ina range kuanzia 2-8million. size zipo kuanzia 906 sq.meters mpk 284 sq.metres. Anayehitaji ni-pm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza Toshiba satellite C560 yenye Hard disk memory ya 500GB na ram 2GB. Bei yake ni 330,000/=. Niko Dar
1 Reactions
3 Replies
1K Views
inahitajika fasta leo hii nichek 0784697790
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Je ungependa kufaamu mawasiliano ya mpenzi (Mke/Mume), Wafanyakazi wako au Mwanao? Ungependa kuona SMS zake za kawaida na Watsapp? Ungependa kuona huwa anampigia nani simu na wanaongea muda...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Nauza shelf za supermarket, nilinunua kwa ajili ya kuanzisha supermarket ila nimebadilisha aina ya biashara. Mwenye kuhitaji ani PM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nina nyumba ya kupanga..self container IPO SHEKILANGO. nyuma ya club suncirro. bei ni 350,000 KWA mwezi unalipa KWA miezi 12. laki NNE KWA miezi sita. KWA mawasiliano zaidi 0784347425 0754375712
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Laki 7 simu imetoka UK imetumika week tatu tuuh bado IPO kwenye ubora wake kama Mpya bei 700,000 aipungui jamani mteja ni pm nikupe Namba asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Bei Laki mbili na 80 Ina creck kwenye touch yake lkn unatumia bila tatizo lolote in good condition ni 0716628257
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Wakuu Kama unaweza kuchukua sura yangu na kuiweka kwenye mwili wa mtu mwingine nitafute tufanye biashara. Olympus na LOGORIDDIM mnaweza hiyo kazi ya photoshop?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa yangu anauza stroller,ila hajui bei yake maana aliletewa zawadi toka nje ya nchi. Kama unahitaji toa ofa yako. Stroller ipo Arusha. Mwenye bei kubwa ndio atakayechukua mzigo. Unaweza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nyumba mbili zingishwa Mwenge near TRA, opposite magorofa ya Jeshi, moja ipo barabarani na inafaa kwa matumizi ya ofisi pia, kuelekeza mtu sio tabu zote Zina vyumba vitatu na jiko, uzio upo na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Frem upo hapa opposite na Jeshi ukishuka barabara ya TRA kwenda afrika Sana ukiingia kushoto, sehem imechangamka, Kuna maduka bar, na Kuna hotel kubwa inajengwa, mwanzoni hivyo frem ilikua na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nauza kamera aina ya sony ni digital ,ni nzuri kwa shughuli za kikazi na nyumbani.ni sony cyber-shot mega pixels 14.1,, optical steady shot dsc-w350... Tatizo lake ni betri haikai na chaji.... Bei...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
nauza pkpk yangu ya honda 110 bei mwisho 600 kama unahitaji n PM
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji Akaunti za facebook ambazo sio mpya, yani zenye miezi kama 3 mpaka 6 na isiyokuwa na marafiki wengi, natumia kwa ajili ya kushare habari kwenye magroup ya nje. Akaunti...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
KOMPYUTA NI NZURI KWA MATUMIZI YA MASOMO NA OFISINI,, SIFA ZA KOMPYUTA NI HIZI;;-- HP Parilion Ze2000 ,, Processor Type ; Intel(R) Celeron(R) ,, Speed; 1.30GHZ ,, System Memory; 480mb.. Tatizo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam,Cautious Concepts Limited Company inahusika na maswala ya graphics design na printing, kwa sasa wanasajili graphics designers kwenye system yao ambayo ipo online, kwenye system hiyo wateja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau, husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Ninahitaji la simu ya iphone 6 kwa mwenye nayo. Iiwe katika hali nzuri na accessories zote ziwepo. Bajet yangu inaanzia laki nane ila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Eneo la ekari tano linauzwa lipo igawilo mkoani mbeya karibu sana na hospital ya igawilo pia karibu na secondary ya igawilo.linafaa kwa mambo yafuatayo:- Kilimo.maana lipo karibu sana na mto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom