Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo katika hali nzuri namba D, inapatika Dar es Salaam. Serious buyer 0715652652
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiwanja kipo sehemu nzuri maeneo Ya Boko CCM kuna ukubwa wa sqm 920 (46x20), kinafaa kwa makazi! Bei 120 milioni (maongezi yapo) Email kwa maelezo zaidi: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari,nauza hp pro book corei3,ina ram 4gb,hard disk 500gb,na processor 2.80ghz,ina 3month tsh 550000 call 0675531833
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar, mkurugenz wa wilaya ya Nanyumbu ametangaza kuuza viwanja kwa ajili ya makazi, biashara na huduma za kijamii. Naomba kuuliza nahitajai mita ngapi za mraba kwa ajili ya nyumba ya vyumba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Simu husika kwenye title
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Wadau Habari, Nauza gari langu pichani. Ni Canter Tonne 3. Bei ni nafuu sana. Mhitaji serious tuwasiliane kwa namba 0654 998326 Karibuni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SALON yakike iliopo Dar es salam maeneo ya sinza inauzwa ikiwa nakilakitu ndani. viti ma Dry yaukutani. Saloon ipo eneo nzuri yabiashara, na imedumu kwamda wamiaka 5, ukinunua hutoanza biashara...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Natafta simu ya kununua isiyozidi laki 2 Brands: Lumia, samsung, htc, and sony Tuwasiliane hapa 0756908809 / 0784678788 Location: Arusha
0 Reactions
2 Replies
845 Views
Simu tajwa hapo juu bado ni mpya kabsa Naziuza kila moja 95000 tu niko dar nicheki 0714702720
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Iwe ya mtu wa khali ya kawaida budget iwe ya chini hasa kipaumbele corolla na starlet Karibu Dharau,mabishano na mbwembwe za kila aina pia zakaribishwa. Namshukuruni
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Narudi kwenu wakuu, nahitaji simu aina tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na bajeti yangu ni tsh100,000.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nauza line za Tigo pesa bei laki tatu. Mwenye kuhitaji anichek kwa 0713806766.
0 Reactions
2 Replies
924 Views
Darproperty Soon in Kigali Rwanda. Connecting East Africa keeping you updated with all the real estate news, insight and trends. Darproperty "East Africa's Ultimate Property Guide"
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Husika na mada tajwa apo juu .nahitaji nokia kama tajwa apo juu iwe haijatumika sana,iwe haina tatizo lolote,iwe inakaa na chaji,ina haina michubuko kivile.Nichek kwa 0753995547 tuongee
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Jumia unveils vendor-friendly redesigned website and boosts customer experience Jumia, the leading online shopping destination in Africa, has launched its newly redesigned websitejumia.co.tz to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni mzani wa kupima unga mchele. Nataka uwe complete nicheki 0688206680. Nipo Dar.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo Mbeya. Iwe ktk hali nzur Bajeti 80,000 Contact 0682927017
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vifaranga wa kuku wa kienyeji wanapatikana, wana umri wa wik 3, bei ni Sh.4,000. Atakayehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. Karibuni sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Qsat Q28G Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
kama kicha kinavyoeleza wadau
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom