Tunzo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 4,125
- 2,449
Nyumba ipo Lego /Shekilango nyuma ya Ubungo Plaza, nyumba ni kubwa ina vyumba vinne(4) kimoja master, jiko na sebule, ipo ndani ya uzio geti lako peke yako, haiingiliani na mtu.. maji 24hrs mpaka mabafuni na mita ya maji yako, bei ni 450,000 kwa mwezi, kwa walio serious tu tuwasiliane kwa 0713415537.