Kijiti
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 190
- 27
WaanaJF salaam,
Napenda kupata taarifa za upatikanaji wa plot/ kiwanja eneleo la Mbweni DSM, kiwe kimepimwa au laaa yote kwangu iko sawa tu.
Bajeti nilikua nimepanga ni 6m na 30*30 ndio ningependelea zaid. kama kuna muhusika anacho anauza tafadhali nichek inbox tuongee zaid, dalali kwakweli sitamuhitaji.
Asanteni sana.
Nawakilisha.:bowl: