Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunatangaza nafasi za kazi kwa waliosoma diploma of computer science or IT SIFA -Awe amemaliza chuo cha DIT & IFM -awe na uwezo wa kufundisha masomo yafuatayo 1 .computer application 2 .pc...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakubwa! Nilikuwa naomba kufahamishwa kwa hapa Dar-es-salaam niwapi naweza kupata screen printing materials hizi! a.photo emulsion+ sensitizer b.screen printing mesh Nitashukuru...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fremu ya biashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Jirani na maduka mawili. Inatazama barabara kubwa ya changombe, temeke. Ina floor tiles nzuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fremu ya biashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwenda tcc club. Jirani na maduka mawili. Inatazama barabara kubwa ya changombe, temeke. Ina floor tiles nzuri...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu. Huawei imetumika miezi minne iko kwenye hali nzuri, na bei yake ni 120000.Tecno imetumika miezi 7 na bado iko vizuri. Bei ni 100000. Kwa mawasiliano 0686979746.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Pole na Majukumu najua kuna walio na facebook groups na page kwa ajili ya burudani au hawayatumii kibiasahara. sisi tunanunua hayo magroup kama ifuatvyo. Idadi ya Member Group Page Laki 5-1m...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nahitaji gari aina ya Noah kesho saa 2 asubuhi kwa 50,000 na ntalitumia mpaka kesho jioni around saa 12. Ntashukuru ukitoa gari na dereva.Ntatoa hela ya mafuta kwa mizunguko yote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ng'arisha meno kwanjia salama bila madhara... Inapatikana sasa kwabei poa elfu 20.. free delivery kwa dsm. . Wateja wa jumla karibuni inbox #0715908050..
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Kwa yeyote anaye hitaji tuwasiliane ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF natafuta miche ya bungo hapa DSM,Tz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naamini mko poa, Napenda kuwafahamisha kuwa: Tunauza vitunguu,Red bombay, saizi zote, ni vizuri sana, unaweza kupata kiasi chochote unachotaka, tupo dar, kwa anayenunua kwa kiwango kikubwa...
1 Reactions
4 Replies
930 Views
Simu tajwa hapo juu inahitajika,na bajeti yangu ni 70,000 iwe katika hali nzuri.nipo mwanza
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Wadau nahitaji vile vya kuvutia shisha, nina flavour tu, sasa nahitaji vile vi catrage ili niwe natumia . Ntavipata wapi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Napokea order, baada ya wiki mbili mzigo utakuwa tayari umeshafika Dar. 1-75,000 2-70,000 (Kikoti ,vipo rangi nyeusi na nyeupe) 3-50,000 Kwa mawasiliano zaidi, 0752661896. Karibuni sana.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimeibiwa simu aina ya huawei kama wiki sasa....kwa mwenye ujuz wa jinsi yq kuitafuta naomba msaada ili niipate kwani kuna jamaa alisema anaweza ila ameshindwa kwa hyo naomba msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wandugu bidhaa tajwa hapo juu inauzwa tsh elfu 80 tu. Inapatikana Mwanza maeneo ya Nyegezi likiwa na gas ndani yake. Pia kuna kitanda na godoro 4x6 tsh 150,000 tu, tv inch 18 tsh elfu 70 tu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomben msaada kuhusu ununuzi wa GODORO BORA, nimetoa kitanda changu kwa fundi juzi tu, sasa nataka kununua Godoro je ninunue GODORO gani zuri (na sababu zake) ambalo litadum maana nahofia...
1 Reactions
29 Replies
45K Views
KIMI DEV. CONSULT LTD, (Kwasasa tupo Mbeya mjini) A sourcing agent for YOU!! We source goods from a wide variety of reliable suppliers, wholesalers and producers and manage the whole supply...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom