Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
Shamba linauzwa lipo Morogorro wilaya ya Kilombero- Ifakara kijiji cha Mngeta! zipo heka 5! ni lizuri kwaajili ya kilimo cha mpunga! cocoa! etc!
Kuna access ya maji (mto) pembeni kwa iyo unaweza vuta maji kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji! na linalimika siyo la kufungua@ heka 750,000/= , hati ya shamba ipo, na nyaraka zote za utambulisho kutoka serikali za mtaa zipo!
Kama uko serious unahitaji ni p.m kwa mazungumzo ya biashara!