Natafuta nyumba ya kupanga

Natafuta nyumba ya kupanga

spade4spade

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,207
Reaction score
2,158
Natafuta nyumba nzima ya kupanga maeneo ya Ilala, Magomeni, Sinza, Kinondoni, Makumbusho, Mwenge. Iwe na hadhi na ambapo panafikika kwa gari kirahisi wakati wa masika. Mwenye habari ani PM.
 
Ingia instagram kwa account inaitwa dalalimwanamke anapost nyumba za kila aina...tena za bei ya mtu yoyote kutokana na hadhi yake
 
ImageUploadedByJamiiForums1445543237.315379.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1445543290.001871.jpg

4 in 1 Unfurnished Apartments along Pugu Rd available for Rent.

Located in a Prime residential area behind Aviation House, 2.4 Kms From Aviation house and 4.7Kms from Julius Nyerere Int'l Airport. 14.2Kms from the heart of the City(Clock Tower City Center)

Well accessible with, Water and Ample Parking for 4Cars.

Two Bedrooms: one Master Bedroom and a Public Toilet.

Rent Fee: $7@ Apartment Per Day.

Contacts: 0222203101 OR 0715-240140
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom