Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kipo sehemu nzuri maeneo Ya Boko CCM kuna ukubwa wa sqm 920 (46x20), kinafaa kwa makazi! Bei 120 milioni (maongezi yapo) Email kwa maelezo zaidi: richie_massive@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamka asbh nakuta hii player haiwaki tena, nahisi radi ilopiga usiku imeleta shida kwa hii player. Cha kushangaza socket ni moja but tv, radio na wireless speaker ziko okay Model yake ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niaje wataalamu. Kama mtu anauelewa kuhusu tank la kluger v linajaza lita ngapi? na cc zake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau,nafanya residential electrical installation(naweka umeme wa majumbani).Yeyote anaehitaji kuwekewa umeme nyumbani kwake iwe ni wa TANESCO ama solar power ktk nyumba yake au ktk pump za...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Inauzwa Harrier namba B kwa bei nzuri. Ni tshs.11.5mil. Rangi nyeusi Tuko mabibo mwisho Dsm 0716535134, pia tunayo suzuki escudo namba A, nyeusi kwa Tshs7.5mil
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiriamali; wakati wa kampeni nilikuwa na robota 10; sasa nimebakiza robota mbili. Nisaidie niondoe huu mzigo. Chumba kimejaa. Na nina mkopo wa saccos; nisaideni kimawzo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipatikane moja kati ya hizi, xw6600 au xw4600. RAM ikiwa 2 nakuendelea sio mbaya, Hard drive 500GB nakuendelea na Processor 3GHZ nakuendelea..
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Nahitaji chumba cha kupanga (master), kiwe maeneo ya mbezi mwisho au mbezini kuwe na maji. mwenye ufahamu naomba tuwasiliane
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tigo pesa 270k Mpesa 170k Airtel 120k Utapata na logbook zake zikiwa mpya pia . 0712191251. Blessed.
0 Reactions
38 Replies
3K Views
wakuu natafuta kitanda cha chuma futi 5/6, nipo dar mabibo kama unacho nitajie bei tuelewane!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nazalisha maziwa hasa mtindi mzito wenye ladha tofauti tofauti hasa hasa vanilla na mango.Niko moshi natafuta soko la kuuzia asante sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Ni duka gani naweza pata Humidity and Temperature controller kwa Dar Es Salaam, samahani sina uzoefu na hivo vitu so siwezi sema specification yake. Please assist, I need only one...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Hili limekua ni tatizo kubwa....tunajua kila mtu alizakiwa mzma kabsa lakn kutokana namfumo wa vyakula ss hv we wamejkuta wakpoteza nguvu za kiume....kuna sababu nying na maelezo mengi sn ila kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF mwenye kufahamu bei ya zile jiko ndogo za gesi za plate moja ambayo iko full na mtungi wake wa KG 6 bei ya rejareja najua ziko aina tofauti ni vyema pia kujua aina nzuri kwa matumizi na...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habari, popote au yeyote wanapotoa mkopo kwa masharti nafuu tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shamba zaidi ya hekali sita linauzwa kwa beii nafuu kabisa. Eneo hili ni zuri kwa kilimo au shughuri nyingine ya kiuchumi . Shamba hili lipo mkoa wa mbeya wilaya ya momba Mtoa tangazo hili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunachora Ramani za Nyumba za kisasa kwa bei nafuu Sana. Kwamaelezo zaidi piga simu/WhatsApp 0717 040837, 0767 267664
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Natafuta Toyota IST budget 7 mil. Namba ianzie C rangi iwe black au Silver. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
710 Views
HABARI,Tunauza laptop za aina mbalimbali,mfano hp,Toshiba,Lenovo na nk,kwa bei nafuu kabisa,NI USED NA ZINA UBOA WA HALI YA JUU CALL 067531833
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima kwenu nyote. Naomba mwenye kuweza kunisaidia nipate battery ya laptop Dell ya kwangu imekufa. Chonde nina shida hiki kilaptop ndio kiofisi changu jamani toka juzi sijawasha jiko ofisi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom