Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

DAMAX Creative CV development service. In today's job market, standing out from the crowd is essential. Your CV is your opportunity to show your future employers that you are the best...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Wakuu nauza kiwanja kipo maeneo ya Mbagara, Charambe kinaukubwa wa 40Ã-40. Kipo karibu na barabara, eneo lina umeme pia kiwanja hakina darali tunafanya biashara kimepimwa na kina hatimiliki zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Samsung Galaxy S5 for sale Used#Mint condition Full boxed 16GB Internal Storage Price 450,000 Contact 0784780955
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Heshima Mbele. kwa wale wote wanaohitaji huduma ya passport size photos express kwa ajiri ya wanafunzi au kundi maalum . Tunapiga picha kwa gharama nafuu DSM na maeneo jirani. Ili tufike...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Kwa wale wanaohitaji kuagiza(import) gari kutoka japan tafadhali wasiliana nami kupitia e-mail yangu dengnikki89@gmail.com au inbox kwa kunijulisha(maker, model, namba yako ya simu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza viwanja vyenye ukubwa tofauti tofauti,kuanzia sqm 400, viwanja viko Kimbiji-Kigamboni kata ya Pemba mnazi 34 km kutoka ferry na vingine viko Chalinze. Bei kwa viwanja vya kigamboni ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa hekari 30 linauzwa. Liko 20km kutoka kwenye daraja Jipya la kigamboni, liko mwasonga 3km kutoka barabara kuu. Bei ni Tzs 10m kwa hekari, lakini mazungumzo yapo. Shamba...
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Kiwe na muonekano mzuri na kisiwe kimewahi kufunguliwa. Kiwe kimetumika japo kwa miezi miwili. Nipo DSM, nicheki 0714-408238/ 0788-252045.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua ni kampuni gani inatengeneza mihuri ya moto kwa Dodoma mjini. I accept the physical address directives au text to 0654000253. Please its urgent
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Kampuni yetu ya Central Park Bees Limited inakuja na Starter KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau ninauza Lap y HP min kwa bei rahisi. SPEC; RAM-2GB HDD-200GB BATTERY-4HRS. But lap inahitaji Housing pamoja n power switch ila kila kitu kinafanya kazi poa. Kwa mawasiliano 0718928267
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza shamba ekari kumi nje kidogo ya manispaa ya Moro kuelekea Dodoma Menge. Kamavuko interestedi njoo Pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau natafuta frem sehem yoyote Dar lakini iwe na mzunguko mkubwa wa watu ni kwa ajili ya Biashara ya uwakala na Nguo. Bei isizidi elfu 50,000 kwa mwezi.
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Nauza jiko la plate nne mbili za gesi mbili za umeme bei 350000 my no: 0718278220
0 Reactions
2 Replies
2K Views
True Ink Associates would like to Announce that the Fourth CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 31/08/2015, Dar Es Salaam City Center...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
We provide installation of Security alarms, Cctv Cameras, Car Track, electric fence at the following areas. Residential Houses, Apartments, Godowns, Game Reserves, Mining Areas. We design...
1 Reactions
0 Replies
774 Views
Nauza gari jamani aina ya Suzuki Carry bei ni poa kabisa tsh 5 milion na maelewano yapo kidogo. Gari inafanya kazi bila shida yeyote , kwa mawasiliano zaidi nipigie kwenye no 0715 546818.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Habari. Nahitaji kununua Satellite Dish za cband 10ft. Mwenye nazo anitumie namba yake ya simu nitampigia. Asanteni sana.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kampuni yetu ya kays logistics inaagiza na kuuza bentonite (drying mud) inayotumika zaidi kwa ujenzi ndani ya maji au kwenye shughuli za madini. Tuna bags za kilo 25 na kilo 50 per bag. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom