Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Nimeamka asbh nakuta hii player haiwaki tena, nahisi radi ilopiga usiku imeleta shida kwa hii player.
Cha kushangaza socket ni moja but tv, radio na wireless speaker ziko okay
Model yake ni
Pia system nzima ya speaker inatoka kwa hii deck
Please ajuae fundi genuine anielekeze kwani fundi wengi hua wanabahatisha.
Thanks