Natafuta chumba cha kupanga

Natafuta chumba cha kupanga

Jipu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
2,696
Reaction score
5,550
Nahitaji chumba cha kupanga (master), kiwe
maeneo ya mbezi mwisho au mbezini kuwe na maji.
mwenye ufahamu naomba tuwasiliane
 
Nyumba ipo, servant quarter, wala si mbali kote huko. Tatizo tofauti za kiitikadi tutakwazana!
 
Nyumba ipo, servant quarter, wala si mbali kote huko. Tatizo tofauti za kiitikadi tutakwazana!

mkuu maisha yanaendelea baada ya uchaguzi tukiendekeza tofauti za kiitikadi maisha yatakua magumu sana tukiachana na hayo nawatafutia makazi wadogo zangu wamepangiwa chuo st joseph. ukiwa tayari kufanya biashara na mimi nakusihi nitafute mkuu
 
Duh yani mimi pia nina nyumba napangisha lkn huku kwetu mbezi hatupendi hicho chama chako....bora tu nyumba ibaki wazi!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom