Wakuu hamjambo, poleni na shughuli za kujenga taifa.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mashamba kwa ajili ya kilimo cha Matikiti maji, Shamba ambalo pia litaendana na zao lenyewe...
Mimi Ni DALALI wa (a)kuuza miti iliyo tayari kupasua mbao
(b)miti ya kuanzia mwaka 1,2,3,4,5,6,7 ya kuitunza mpaka ikiwa tayar kupasuliwa
(c)aridhi tupu ya kupanda miti
(e)mbao za jumla za...
Wakuu, binafsi ni muathirika mkubwa wa chunusi. Ni wazi kuwa dawa nyingi zinazopatikana madukani either hazisaidii ama huondoa tatizo hili kwa muda tu kisha linarudi palepale.Kwa waathirika wa...
Viatu vya kiume rejareja 28000-30000.
Viatu vya kike nauza jumla tu kuanzi pair 10, bei 8500-9000.
Wale wa Dar ukichukua kuanzia pair 10 unaletewa bure ulipo kwa viatu vya kike, viatu vya kiume...
Nyumba iwe maeneo ya mianzini au sanawari iwe double(chumba na sebule) ikiwa self itakuwa vizur Zaid isiwe mbali na barabara kuu, kodi itatolewa kulingana na ubora wa nyumba mawasiliano 0768600941
Nina mkaa magunia 130 yenye ujazo wa mbavu mbili(shanga mbili) ambayo ninayauza kwa bei ya jumla, kila gunia ni 45,000. mkaa umetoka kusini. kwa anaehitaji anaweza kunicheki kwa namba hii 0714...
Heshima kwenu brothers and sisters
Nyumba ya familia inapangishwa yombo vituka nyuma ya airport.. Maarufu kama Jet lumo ( kwa jimy " woodland pub") 3km from jk nyerere airport and 11 km from...
DARASA LA JIONI KWA QT NA WANAORUDIA MITIHANI KWA MASOMO YA, HISTORY, KISWAHILI, ENGLISH, CIVICS, GEOGRAPHY na BIOLOGY Tupo: Kinondoni mkabala na mahakama.
KWA MAELEZO ZAIDI: PIGA AU TUMA UJUMBE...
Wanajamiiforum ninawasalimu,
Nauza simu yangu viwa max5 imetumika miezi miwili, ninaiuza kwasababu kwa sasa ninauhitaji wa pesa mkubwa ukilinganisha na uhitaji wa simu.
Niko Mbeya
0768581799
simu aina ya galaxy note 3 original inauzwa shilingi laki 6. simu haijatumika sana na sababu ya kuuzwa ni kwamba nimepata galaxy note 4 hivyo nauza hii 3.
specs zake zione hapa
Samsung...
Nyumba inauzwa maeneo ya ituha (Mbeya Mjini). Si umbali mrefu kutoka inapoishia rami.(Unaingulia Sae). Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja kati ya hivyo ni self), Ina sitting room, dinning room...
Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa.
Master mbili na chumba kimoja pia kina choo chake.
Mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo.
kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.