Nina 5mil nahitaji gari

Nina 5mil nahitaji gari

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,176
Reaction score
11,581
Nina hicho kiasi nahitaji gari iliyo katika hali nzuri.
 
Hapa kuna gari ya zamani kidogo ila imefungwa injini mpya. Bodi ni ya ukawa na imefungwa engine ya Lowasa.
 
Nicheck 0717 575732 nina mack ii kali chini ya mil.5 waweza kuja na fundi wako unaemwamini nipo dar (mbezi)
 
Kwani Ndugu yangu lazima umiliki gari, si ununue hata pkpk.

A ha kumkatisha mwenzako tamaa mil 5 nyingi unapata gari safi kabisa za kulenga kwa WATU, pass namba D pia unapata kwahiyo PESA ya kulenga, wala aside na haraka.
 
Ipo Caldina mkuu Arusha ipo poa na imetulia namba A, nipm namba yako nikutumie picha whatsup
 
Aksante kwa ushirikiano nimepta BOON NO. DEW kwa 7.5 iko poa sana naifurahia matumizi ya mafuta na comfortability.
 
Aksante kwa ushirikiano nimepta BOON NO. DEW kwa 7.5 iko poa sana naifurahia matumizi ya mafuta na comfortability.

Boon eeeh.......ukaambiwa ni sawa na ist......hope umejua ni Daihatsu.......
 
Hapana nilijua Ni Dahtsu wala sikuifikiria kabisa ist.

Hongera umejikomboa kula vumbi na kuwakiwa jua.....mie bado nasubiria uchaguzi uishe, member watulie waniletee gari nililotangaza nahitaji.

....mwenye nalo tuwasiliane..aidha PM or whatsapp.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom