eyetyna
Senior Member
- Jun 24, 2011
- 148
- 17
Wakuu hamjambo, poleni na shughuli za kujenga taifa.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mashamba kwa ajili ya kilimo cha Matikiti maji, Shamba ambalo pia litaendana na zao lenyewe, mazingira na hali ya hewa.
Nataka nianze kilimo hichi as soon as possible.
Kwa yoyote aliye na mashamba haya please let me know.
Asanteni sana.