Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habarini, Nauza line ya Tigopesa Tshs 500,000 na line ya Airtel Money inauzwa Tshs 200,000. Napatikana Banana-Ukonga. Karibuni..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, niko Dodoma naitaji line ya M-PESA ninajua watu wanauza kwa bei tofauti tofauti , mimi nina 100,000 cash. Hakuna usumbufu wa kuituma nina popote ulipo ntamtuma mtu umpatie: NITAFUTE...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Black iphone 5 16gb for sale 460k Call 0769038065
0 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari natafuta mtu mwenye toyota ipsum kwajili ya kukodisha kuanzia wiki mpaka mwezi. Bei maelewano.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi mwenye gari tajwa hapo juu anayehitaji kuiuza achangamkie fursa. Bajeti yeyote itakayokuwa na minimum price.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
nahitaji simu tajwa hapo juu leo napatikana ubungo bei yangu 60 0717184353 ni leo leo inahitajika tena haraka
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Vifaa vinavyouzwa Ni Dstv dish Na decoder yake, Dish la Azam Na decoder yake, tv 2 kubwa, mabenchi 20 ya kukalia, vyote vinauzwa kwa 1,200,000 Tu, vifaa vipo Dar es salaam, Kama uko interesting...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
House with Two Equal Apartments for Sale: Chanika D'SM:- Ø Each apartment : 1- (Seat + dining room), 2-Bed room, 1- Store and Kitchen, 1-Front Verandah, 1- External Toilet + Bath room...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu mwenye nayo anipe bei popote pale yalipo ndani ya Tanzania!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Viwanja vinauzwa kigamboni,mwasonga karibu na shule ya msingi kichangani(njia ya kibada kuelekea dar es salaam zoo)Vimepimwa na vina plot namba kabisa.vimepimwa na kampuni binafsi Ukubwa ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
for sale airtel Internet sim card 5gb unlimited call/WhatsApp no 0713108304 /0774108304
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Wakuu habari! Ni wapi naweza pata dagaa kwa ajili ya chakula cha kuku kwa bei nafuu i.e jumla kwa hapa DSM.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau natumaini mpo fine jaman naitaji kin'gamuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 255756417990
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini, naomba yeyote mwenye kujua duka hapa Dar linalouza vifaa vya kuprint tshirt kwa bei nafuu kama vile screen, paint, photo emulsion n.k
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Black Friday nilifanikiwa kuopoa 3 .sasa Huko bongo zanauzwaje?nitawashikuru.nina ship for 200 dollar per Tv
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta computa desktop ya bei ya rahisi ama tubadilishane na line ya uwakala ya Airtel money. Mwenye nayo tuwasiliane 0767262530
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Wazima Nahitaji Asali ya nyuki wadogo haraka kwa Bei Ya jumla Pm me kama unayo..kabla ya kununuliwa itapimwa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji used Laptop ya bei poa kwa ajili ya kazi za kawaida Iwe ina kaa na charge around 3hrs na kuendelea- kwa sababu ya huu mgawo Iwe na Ram above 1gb na Storage ya angalau 250gb na...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Wale Open Uni, Public Administration tuwasiliane hapa
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Nauza shamba lipo wilaya ya mvomero mkoa wa morogoro,nina ekari mia moja,kwasababu nimeshindwa kuliendeleza nauza ekari 50 bei maelewano, gari linaingia mpaka shambani.nizuri kwa kilimo zao lolote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom