Galaxy note 3 kama mpya inauzwa

Galaxy note 3 kama mpya inauzwa

baba-mwajuma

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
5,870
Reaction score
12,427
simu aina ya galaxy note 3 original inauzwa shilingi laki 6. simu haijatumika sana na sababu ya kuuzwa ni kwamba nimepata galaxy note 4 hivyo nauza hii 3.

oOD0kSy.jpg


specs zake zione hapa
Samsung Galaxy Note 3 - Full phone specifications

kwa uharaka unapata kioo full hd cha inch 5.7, processor nzuri ya snapdragon 800 na ram ya 3gb.

kama unahofia za kichina sema test yako unayoipenda halafu nitatest nikuonyeshe

kwa mawasiliano tuma pm au sms/piga namba hii +255629100266
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom