Kwa wale wabunge wapya nawajulusha kuwa nina nyumba nzuri eneo la kisasa. master mbili na chumba kimola pia kinachoo chake. mnaweza hata kushea nyumba ni nzuri na mpya usalama upo. kwa anaetaka tuwasiliane weka no nitakupigia
poa ntakuchek
Mkuu umeshinda jimbo lipi?