Habari wanajamvi zikiwa zimebaki siku mbili naomba mwenye kunisaidia nikapige kura ili kutimiza haki yangu Kikatiba ya kumchagua kiongozi ninaemtaka. Nauli ni sh 15,000/= tu chuo kipo Morogoro...
Mimi ni mwalimu mzoefu ambaye nimefundisha na bado ninafundisha katika shule kubwa kama Marian Boys secondary School,Feza boys secondary na Baobab secondary school,kwa sasa pia ninafundisha...
Naombeni kuuliza kwa niaba ya rafiki yangu nini nafasi ya ajira za migodini nchini Africa kusini ,Zambia ,Congo hasa za mitambo ya uchimbaji anaejua jamani...
Nahitaji TV na freezer inayotumia DC kwa ajili ya solar.
TV isiwe inakula watt zaidi ya 20, na freezer isizidi watt 15.
PM au niandikie Sirngonyani@gmail.com
Inapangishwa nyumba nzima ina vyumba 3 vya kulala sitting room na dining na Jiko. Haina fensi. Kodi laki na nusu Kwa mwezi inatakiwa kodi ya miezi 6. Kwa maswali na kuiona nicheki 0784791233.
Goodmorning brohers & sisters,
Naomba uniuzie Laptop, bajeti yangu ni laki 3. Sifa zake:
- Isiwe na tatizo lolote la kiufundi
- Iwe ni 64 bits
- Iwe na Windows 8
- Iwe ni i3 na kuendelea
Please...
Dell gx 270, 2.8ghz, ram 256mb, hard disk 120 gb, keyboard and mouse, and monitor flat 15 inches.
Inafanya kazi vizuri, bei 130,000/=
Kwa mawasiliano 0766714643 DSM
Tujulishane kama una magari mabovu, chuma, copper, brass, alluminium, cast, betri mbovu ya gari nk... Tuko Mabibo mwisho(beach) Dar es salaam. Pesa yako unalipwa hapohapo, bei zetu ni nzuri...
WaanaJF salaam,
Napenda kupata taarifa za upatikanaji wa plot/ kiwanja eneleo la Mbweni DSM, kiwe kimepimwa au laaa yote kwangu iko sawa tu.
Bajeti nilikua nimepanga ni 6m na 30*30 ndio...
Ewe mfanyabiashara mdogo na wakati ambae mahesabu yako unaweka kwenye daftari, huu ni mwaka wa mabadiliko, hamia kwenye system itakayo kutunzia mahesabu yako vizuri.
Natoa training ya jinsi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.